Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ligi Kuu Ufaransa yakumbwa na majanga

Fbl Fra Ligue1 Psg Marseille 8 Scaled Ligi Kuu Ufaransa yakumbwa na majanga

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inaelezwa kuwa Ligi kuu ya Ufaransa Ligue 1 iko katika hatari ya kutokuonekana kwenye TV.

Inaelezwa kuwa Ligi kuu ya Ufaransa Ligue 1 iko katika hatari ya kutokuonekana kwenye TV. Hatua hiyo ni kutokana na kutokuwa na utayari wa wahusika wa kurusha matangazo kulipia kiasi cha £693m kwa kila mwaka Ili kurusha Mubashara Ligue 1 na 2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live