Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ligi Kuu Tanzania yashika nafasi ya tano kwa zawadi za gharama kubwa

Yanga Shamra Ligi Kuu Tanzania yashika nafasi ya tano kwa zawadi za gharama kubwa

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania ni miongoni mwa Mataifa 54 ambao ni wanachama wa Shirikisho la Soka Barani Afrika ambao kuna Ligi mbalimbali zinachezwa.

Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, Ligi Kuu ya Tanzania inashika nafasi ya tano kwa gharama ya zawadi za pesa taslim inazotoa chini ya Bodi ya Ligi ambayo ndiyo msimamizi mkuu wa Ligi hiyo yenye timu 16.

Tanzania inashika nafasi ya tano kwa zawadi za zaidi ta dola za Kimarekani 236,000 sawa na Tsh 583,050,000 mbele ya Ethiopia, Algeria, Nigeria, Cameroon na Botswana.

Africa's Biggest League Cash Prizes;

1. South African Premier League - $796,000

2. Moroccan Botola Pro - $598,000

3. Egyptian Premier League - $500,000

4. Tunisian Ligue Professionnelle 1 - $300,000

5. Tanzania's Ligi Kuu Bara - $236,000

6. Ethiopian Premier League - $192,400

7. Nigeria Premier Football League - $103,500

8. Algerian Ligue 1 - $100,000

9. Cameroon's Elite One - $82,000

10. Botswana Premier League - $54,630.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live