Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ligi Kuu England leo hapatoshi leo

Man City Vs Liverpool Prediction Ligi Kuu England leo hapatoshi leo

Sat, 25 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu England inaendelea tena leo Novemba 25, 2023 huku nyasi za viwanja saba zikitarajiwa kuwaka moto.

Mabingwa watetezi Manchester City watakuwa wenyeji wa Liverpool katika dimba la Etihad majira ya saa 9:30 alasiri.

Michezo mingine itakayopigwa leo ni pamoja na;

Newcastle vs Chelsea ( St James’ Park)

Burnley vs West Ham UTD ( Turf Mor)

Nottingham Forest vs Brighton ( City Ground)

Luton Town vs Crystal Palace ( Kenilworth Road)

Sheffield United vs Bournemouth (Bramall Lane)

Saa 2:30 usiku

BRENTFORD vs ARSENAL

Chanzo: www.tanzaniaweb.live