Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Licha ya kuondolewa CAF, Azam Fc wanaendelea kupiga pesa tu

Azam Fc Msd Licha ya kuondolewa CAF, Azam Fc wanaendelea kupiga pesa tu

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kuondolewa kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC wanazidi kupiga mkwanja tu, unaambiwa mpaka sasa Uwanja wa Azam Complex pale Chamanzi umetumika kwenye mechi 5 kubwa msimu huu nje ya zile za Azam yenyewe.

ASAS FC vs Yanga

Yanga Vs ASAS FC

Yanga vs KMC

Singida FG vs JKU

JKU vs Singida FG

Gharama za kukodisha uwanja wa Chamanzi kwa team za Tanzania kwa mchezo mmoja ni Tsh 5,900,000 (shilingi milioni tano na laki tisa).

Gharama za Kukodisha Uwanja kwa Team za kimataifa ni tsh 12,500,000 , kwa maana hapa sasa ASAS FC ya Djbout wametoa Tsh million 12,500,000 kwa mchezo wao waliochezea nyumbani, JKU si wahapa hapa tu.

Hivyo basi michezo 5 ambazo ziimechezw kwenye Uwanja wa Chamanzi, Azam Fc wamevuna mapato ya Tsh milioni thelathini na sita na laki moja (36,100,000) kwa kipindi kisichozidi wiki tatu tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live