Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Licha ya kichapo ila mwanzo mzuri kwa Hojlund

Rasmus Hojlund Debut Licha ya kichapo ila mwanzo mzuri kwa Hojlund

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Man United wamefanya usajili wa Straika wa viwango dirisha kubwa la usajili Rasmus Hojlund kutokea Atalanta.

Jana Jumapili Hojlund alipata nafasi ya kucheza mchezo wake wa kwanza katika jezi ya Man United akiingia kutokea benchi katika kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Arsenal.

Licha ya kucheza dakika chache akichukua nafasi ya Anthony Martial Hojlund hajatoka kinyonge.

Good debut! Alimpa kitu cha kufanya Gabriel. Physical, kuna mara kama 3 ubavu wake tu na touch kidogo uliwapa United harufu ya lango. Kashaonesha kuwa yeye sio mnyonge kilichobaki ni kuendelea kunyonga tu sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live