Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ley Matampi kipa bora, amfunika Diarra

Matampi AaRGF.jpeg Ley Matampi kipa bora, amfunika Diarra

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ley Matampi mlinda mlango kutoka kwenye kikosi cha Coastal Union, ndiye golikipa bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24.

Ley Matampi mlinda mlango kutoka kwenye kikosi cha Coastal Union, ndiye golikipa bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24. Matampi alimaliza msimu akiwa na cleansheets 15 na kuisaidia timu yake kumaliza nafasi ya nne kwenye ligi ambapo msimu huu itashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live