Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lewandowski kuikosa El Classico

Robert Lewandowski Injury El Robert Lewandowski akipozwa na Kocha wake Xavi

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia majeraha kifundo ya mguu wa kushoto aliyoyapa Straika wa Barcelona Robert Lewandowsiki hapo jana kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Fc Porto.

Kufuatia majeraha kifundo ya mguu wa kushoto aliyoyapa Straika wa Barcelona Robert Lewandowsiki hapo jana kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Fc Porto. Mchezaji huyo wa Poland atakuwa nje ya dimba kwa mda wa mwezi mmoja huku akitajwa kuikosa mechi ya El Clasico tarehe 28 mwezi huu Barcelona itakapokuw inawakaribisha mahasimu wao Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live