Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lewandowski asaka rekodi ya Ronaldo, Messi UEFA

Robert Lewandowski El Clasico.jpeg Lewandowski asaka rekodi ya Ronaldo, Messi UEFA

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Barcelona raia wa Poland anataka kuingia katika kitabu cha kumbukumbu sambamba na wakongwe kama Lione Messi na Cristiano Ronaldo.

Lewandowski mpaka sasa amefikisha mabao 92 huku akiwa na hamu kubwa ya kufikisha mabao 100.

Akizungumza Lewandowski anasema;

"Kufikisha mabao 100 katika Uefa Champions League itakuwa ni jambo kubwa kwangu. Nitafanya kila kitu kuhakikisha nafanikisha hilo."

Vinara wa Mabao hadi sasa:

Cristiano Ronaldo 140

Lionel Messi 129

Lewandowski 92

Karim Benzema 90

Chanzo: www.tanzaniaweb.live