Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lewandowski Kupewa Tuzo Yake ya Ballon d'OR

Messi Lewandowski.jpeg Lewandowski Kupewa Tuzo Yake ya Ballon d'OR

Mon, 6 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Lionel Messi kuzungumza kuwa mshambuliaji wa Bayern Munich Roberto Lewandowski anastahili kupewa tuzo ya Ballon d'Or ya mwaka 2020 Kauli hiyo imeungwa mkono na waandaaji wa Tuzo hizo.

Baada ya Lionel Messi kuzungumza kuwa mshambuliaji wa Bayern Munich Roberto Lewandowski anastahili kupewa tuzo ya Ballon d'Or ya mwaka 2020 Kauli hiyo imeungwa mkono na waandaaji wa Tuzo hizo. Taarifa zinadai waandaaji wa Tuzo hizo wanafikiria kumpa tuzo ya mchezaji bora kwa mwaka 2020. Baada ya Hafla ya utoaji tuzo hizo kwa mwaka 2020 kutofanyika kutokana na mlipuko wa Covid 19 .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live