Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Leverkusen wanaitafuta rekodi ya Yanga "Unbeaten"

Leverkusen 1040x572 Leverkusen wanaitafuta rekodi ya Yanga "unbeaten"

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bayer Leverkusen wamecheza mechi yao 47 bila kupoteza kwenye michuano yote msimu huu baada ya kuibamiza AS Roma 2-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Europa katika dimba la Olimpico (Rome)

FT: AS Roma 0-2 Bayer Leverkusen

Florian Wirtz 28’

Andrich 73’

Vijana wa Daniel De Rossi (Roma) na vijana wa Xabi Alonso (Leverkusen) watachuana kwenye mchezo wa marudiano wiki ijayo kuamua nani atakayetinga fainali ya michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live