Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Leicester City yawakuta majanga, kukatwa pointi 10

Leicester City FC Leicester City yawakuta majanga, kukatwa pointi 10

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Leicester City Football Club imekutwa na hatia Makosa ya kukiuka sheria za PSR rules, watakumbana na adhabu ya kukatwa point 10 msimu ujao, Leicester walikiuka sheria hizo kabla ya kushuka daraja kutoka Premier League msimu uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live