Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Laporta ampa uhakika Xavi

Xavi And Laporta Laporta ampa uhakika Xavi

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Barcelona wamethibitisha uungwaji mkono na imani kwa Xavi - hawana mpango wa kubadilisha kocha,

Rais Joan Laporta : “Tuko pamoja na Xavi, Imehakikishwa 100%, msaada wetu utakuwa jumla. Yeye ni meneja wetu na tunajivunia kuwa naye kama kocha."

Xavi : “Ninahisi uungwaji mkono kutoka kwa klabu na pia kutoka kwa raisi,Ni msaada mkubwa, sina shaka ”

“Ninahisi kulindwa na klabu. Mimi huzungumza na raisi mara nyingi na Deco, Wanajua jinsi tunavyofanya kazi na ninahisi kuwa nina imani yao yote”.

“Ninaamini kabisa kwamba tutacheza vizuri tena na kupata matokeo. Kama nisingeamini nisingekuwa hapa”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live