Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lampard alimtaka Rice awe Nahodha wa Chelsea

Lampard X Rice Lampard alimtaka Rice awe Nahodha wa Chelsea

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa Chelsea Frank Lampard alitaka kumnunua Kiungo wa West Ham United Decline Rice wakati alipokuwa Meneja wa Chelsea.

"Nilitaka kumleta Declan Rice Chelsea nilipokuwa kama kocha hapo awali, alikuwa shabaha yangu kuu"

"Nilikuwa nasema, mtoto huyu Declan, atakuwa nahodha wa Chelsea kwa miaka 10 ijayo".

Decline Rice kwa sasa anataka kwenda kujiunga na Arsenal iliyo chini ya Mikel Arteta.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live