Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lamine Yamal azidi kuweka rekodi Barcelona, La Liga

FBL ESP LIGA GRANADA BARCELONA 0910n01 1696823254 Lamine Yamal azidi kuweka rekodi Barcelona, La Liga

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kinda Lamine Yamal mwenye umri wa miaka 16 tu ameweka rekodi ya kuwa mfungaji kinda zaidi kufunga bao kwenye mechi ya Laliga kihistoria.

Yamal ameifungia Barcelona bao la kwanza ikielekea mapumzikoni wakiwa nyuma 2-1 dhidi ya Granada.

Mchezo huo ulimazikia kwa sare ya mabao 2-2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live