Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lamine Yamal ang'ara Tuzo za La Liga

Lamine Yamali Tuzo Kinda wa Barcelona, Lamine Yamal

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kinda wa Barcelona, Lamine Yamal (16) ameshinda tuzo ya Mchezaji bora kijana chini ya umri wa miaka 23 wa La Liga 2023/24.

Kinda wa Barcelona, Lamine Yamal (16) ameshinda tuzo ya Mchezaji bora kijana chini ya umri wa miaka 23 wa La Liga 2023/24. Lamine amekuwa na kiwango Bora msimu 2023/24 ambao umetamatika wikiendi iliyopita kwa Madrid kubeba Ubingwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live