Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lamine Yamal ameiheshimisha Santiago Bernabeu

Lamine Yamal Dsd Lamine Yamal.

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bwana mdogo Lamine Yamal (16) jana ameacha statement ya maana pale Santiago Bernabeu wakati Spain wakivaana na Brazil.

Mashabiki wote wa Spain wamempigia makofi wakati akitoka uwanjani kutokana na kiwango bora jana. Hii ni Special and top Talent.

FT: Spain 3 - 3 Brazil ⚽ 12' Rodri (P) ⚽ 36' Olmo (assist Lamine Yamal) ⚽ 40' Rodrygo ⚽ 50' Endrick ⚽ 87' Rodri (P) ⚽ 90+7' Paqueta (P)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live