Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lamine Yamal aendelea kuandika rekodi Hispania

Lamine Yamal Mkd Lamine Yamal aendelea kuandika rekodi Hispania

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kinda Lamine Yamal ameendelea kuweka rekodi za kibabe Uhispania baada ya kufunga bao lake la pili kwa timu ya taifa ya Uhispania akiwa na umri miaka 16 tu.

Katika mechi tatu, Lamine amefunga mabao mawili.

Alizaliwa Julai 2007.

???? Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuichezea Barcelona.

???? Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuifungia Barcelona.

???? Mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuchezea NT ya Uhispania.

???? Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kufunga bao la Uhispania NT.

???? Mchezaji mdogo zaidi kuwahi kufunga katika historia ya Liga.

???? Mchezaji mdogo zaidi kuwahi kutokea kwenye Ligi ya Mabingwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live