Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Laana ya Kim yawatafuna Arsenal na PSG

KIM K Laana ya Kim yawatafuna Arsenal na PSG

Mon, 20 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni kama laana hivi kwani kila uwanja ambao Kim Kardashian anatia mguu, basi timu mwenyeji inafungwa! Alhamis Mwanamitindo huyo maarufu duniani alitembelea uwanja wa Emirates ambapo Arsenal aliondoshwa na Sporting CP kwenye michuano ya UEFA Europa League.

Ni kama laana hivi kwani kila uwanja ambao Kim Kardashian anatia mguu, basi timu mwenyeji inafungwa! Alhamis Mwanamitindo huyo maarufu duniani alitembelea uwanja wa Emirates ambapo Arsenal aliondoshwa na Sporting CP kwenye michuano ya UEFA Europa League. Leo Kim K ameendeleza ziara yake kwa kuhudhuria kwenye dimba la Parc des Princes nyumbani kwa PSG ambao wamefungwa bao 2-0 na Stade Rennais kwenye Ligue 1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live