Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Yanga wanazungumza na Wanahabari, waamuzi watajwa, Simba ndani (+Video)

Video Archive
Tue, 8 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Timu ya Yanga, wanazungumza na Wanahabari katika Makao Makuu ya Klabu hiyo Jijini Da es Salaam.

Moja ya Agenda kubwa inayokwenda kuzungumzwa katika Mkutano huo ni kutoridhishwa na baadhi ya waamuzi katika baadhi ya michezo ya Ligi Kuu.

Kaa karibu na Tanzania Web, tutakujuza kila ambacho kinaendelea kutokea katika Mkutano huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live