Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: TFF waingia mkataba na GSM udhamini wa Ligi Kuu

Video Archive
Tue, 23 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya GSM, imeingia Mkataba na Shirikisho la Mpira Tanzania TFF kudhamini Ligi Kuu Tanzania bara.

Kampuni ya GSM, imeingia Mkataba na Shirikisho la Mpira Tanzania TFF kudhamini Ligi Kuu Tanzania bara. Mkataba huo ni wa miaka miwili na wenye thamani ya Shilingi za kitanzania Bilioni 2.1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live