Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Simon Msuva anazungumza na Wanahabari, amepata timu ? (+Video)

Video Archive
Thu, 14 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, juzi alipewa ushindi na Shirikisho la Soka FIFA mbele ya Mabingwa wa Africa Wydad Casablanca akiamriwa kulipwa mishahara na stahiki zake zote na timu hiyo kiasi cha Shilingi za Kitanzania bilioni 1.6

Kwa wakati wote wa kesi yake Msuva hakuwa na timu wala hakueleza hasa nini chanzo cha mgogoro wake na Klabu hiyo ya Morocco.

Sasa leo Julai 14 Msuva anazungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live