Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Simba wanazungumza na Wanahabari, Mkataba M-bet (+Video)

Video Archive
Mon, 1 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba wiki moja iliyopita ilitangaza kuachana na waliokuwa wadhamin wao Kampuni ya kubashiri ya Sportpesa na kuingia Mkataba mpya na Kampuni ya M-Bet.

Sasa leo Simba wanazungumza na Wanahabari kuhusiana na gharama halisi za Mkataba huo wa miaka mitano pamoja na faida nyingi ambazo Simba inakwenda kuzipata katika udhamini huo mpya.

Mazungumzo hayo yanafanyika katika Hotel ya Johari Rotaba Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live