Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Simba wamedhamiria, wazindua kampeni ya Ujenzi wa Uwanja

Video Archive
Fri, 17 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imezindua kampeni ya ujenzi wa uwanja wake hii leo Disemba 17 katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.

Klabu ya Simba imezindua kampeni ya ujenzi wa uwanja wake hii leo Disemba 17 katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam. Simba wametambulisha njia tofauti tofauti ambazo mshabiki, mpenzi na mwanachama anaweza kuchangia klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live