Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIGIKUUNBC: Hivi hapa vikosi vya Yanga vs Azam FC vinavyoanza mchezo wa leo

Yanga Kikosiiiiiiiii Hivi hapa vikosi vya Yanga vs Azam FC vinavyoanza mchezo wa leo

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Timu ya Yanga inashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuvaana na Azam FC mchezo wa mzunguko wa 6 Ligi Kuu ya NBC.

Mchezo huo unatazamiwa kuwa na ushindani mkubwa hasa ikizingatiwa kila Timu inatamani kushinda mchezo huo ili kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi.

Hivi hapa vikosi vya Timu zote mbili vinavyoanza mchezo wa leo;



Chanzo: www.tanzaniaweb.live