Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIGIKUUNBC: Hivi hapa vikosi vya Ihefu vs Geita vinavyoanza mchezo wa leo

Ihefu Warm Up.jpeg Wachezaji wa Ihefu wakifanya mazoezi mepesi

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pazia la Ligi Kuu ya NBC 2023/24 linafunguliwa Rasmi leo Agosti 15 kwa mchezo wa kwanza utakaopigwa huko Mbarali Jijini Mbeya.

Ihefu wataikaribisha Geita Gold FC katika Uwanja wa Mbarali majira ya saa 10 jioni.

Hivi hapa vikosi vya timu zote mbili vinavyoanza mchezo wa leo, vitazame na utupe utabiri wako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: