Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kylian Mbappe aishitaki PSG

Mbappe Arejea Ufaransa Kwa Matibabu Mbappe aishitaki PSG

Thu, 22 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappé amewasiliana na moja kwa moja LFP pamoja na UEFA ili kuishitaki PSG kwa kushindwa kutomlipa haki yake.

Mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappé amewasiliana na moja kwa moja LFP pamoja na UEFA ili kuishitaki PSG kwa kushindwa kutomlipa haki yake. Kylian Mbappe anaidai €55M kama mshahara pamoja na Bonasi ambazo hajalipwa ikiwa PSG itakutwa na Hatia itakuwa na hatari ya kutolewa kwanye UEFA CL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live