Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kylian Mbappe afikisha mabao 300

Kylian Mbappe Goals Kylian Mbappe

Mon, 20 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Akiwa na umri wa miaka 24 pekee, Kylian Mbappé lottin tayari amefunga mabao 300 katika maisha yake ya soka.

Mbappe anafikisha idadi hiyo ya magoli akiwa ameifunga katika Timu tatu tofauti alizochezea mpaka sasa ambazo ni;

Magoli 27 akiwa na AS Monaco

Magoli 227 akiwa na Paris Saint German

Magoli 46 akiwakilisha Timu ya Taifa ya Ufaransa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live