Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwenye hesabu zenu msiwasahau na Aston Villa

Aston Villa Hesabu Kwenye hesabu zenu msiwasahau na Aston Villa

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya michezo ya kusisimua weekend hii ni ule wa Aston Villa dhidi ya Arsenal ambao utapigwa Jumamosi hii saa 2:30 usiku.

Arsenal anaongoza kwenye msimamo wa Ligi na Aston Villa ipo nafasi ya tatu ya msimamo, tofauti yao ni alama nne pekee.

Aston Villa katoka kumvunja City pale Villa Park na mara hii Arsenal ana jipeleka mwenyewe naamini wote mnajua nini kinafuata

Pep ameshasema hii Villa inaweza kubeba ndoo msimu huu bila shaka, ameipa ubingwa mwenye ubingwa wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live