Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwanini Gradel alishangilia ubingwa na bendera ya Morocco?

Max Gradel Morocco Flag Kwanini Gradel alishangilia ubingwa na bendera ya Morocco?

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Max Gradel kuonekana akishangilia na bendera ya Morocco baada ya ushindi wa Ivory Coast juzi kwenye fainali maswali yalikuwa mengi wakihoji alikuwa anamaanisha nini.

Kitendo hiko kimetolewa ufafanuzi kuwa ushindi wa Morocco dhidi ya Zambia kwenye mechi ya hatua ya makundi uliwasaidia Ivory Coast kufuzu kama best loser

Maana yake bila Morocco kushinda safari ya Ivory Coast ingeishia makundi, kwa kuheshimu hilo Max aliamua kushangilia na bendera ya Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live