Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwani nyie hamuogopi?

Chama Pacome A42t2.jpeg Chama na Pacome

Tue, 9 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga, Clotous Chota Chama akiwa kwenye picha na Pacome Zoauzou baada ya kuanza mazoezi rasmi na klabu yake mpya.



Itakumbukwa mwanzoni mwa msimu uliopita ulizuka mdajala mkali wa nani bora kati ya Chama na Pacome wakati wawili hao wakiwa pande tofauti za timu mbili za Kariakoo, mmoja akiwa Simba Sc na mwingine Yanga Sc.

Hivi sasa wawili hao wapo upande mmoja, Je ule mjadala wa nani zaidi bado unaendelea?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live