Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa rekodi hizi za Yanga, Azam kazi anayo leo

Sopu Azam Fc.jpeg Kwa rekodi hizi za Yanga, Azam kazi anayo leo

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michuano ya Ngao ya Jamii Tanzania inaanza kutimua vumbi leo Agosti 9, 2023 kwa mchezo mmoja wa nusu fainali kati ya Young Africans SC dhidi ya Azam FC utakaopigwa katika dimba la Mkwakwani Tanga majira ya saa 1:00 jioni.

Yanga SC vs Azam FC

Mashindano: Ngao ya Jamii ????????

Hatua: Nusu fainali

Muda: 1:00 jioni

Uwanja: Mkwakwani Stadium.

Kuelekea mchezo huo, Yanga itamkosa winga wake Jesus Moloko ambaye anatumikia adhabu ya kadi nyekundu huku Azam FC ikimkosa kiungo wake mpya Yannick Bangala ambaye ana jeraha la goti.

MECHI 5 ZA MWISHO YANGA vs AZAM

◙ Yanga SC 1-0 Azam FC

◙ Azam FC 2-3 Yanga SC

◙ Yanga SC 2-2 Azam FC

◙ Azam FC 1-2 Yanga SC

◙ Yanga SC 2-0 Azam FC

Dondosha utabiri wako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live