Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa nini Karia amepewa jezi namba 11 na Simba?

Karia Ahmed Sz.jpeg Kwa nini Karia amepewa jezi namba 11 na Simba?

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba mwishoni mwa wiki iliyopita ilimkabidhi jezi namba 11 Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia ambayo atavaa siku ya mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba dhidi ya Al Ahly.

Akifafanua kuhusu kumpa Karia jezi yenye namba 11, Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema Simba inathamini vipaumbele vyake 11 alivyoweka rais huyo wakati wa kampeni zake kuingia madarakani ambazo zimeweza kufanikiwa na Simba wakiwa ni wanufaika waliowezesha kufanikisha hayo mambo 11 ya Karia.

Mchezo wa robo fainali kati ya Simba na Ahly utapigwa katika Dimba la Mkapa, Ijumaa Machi 29, 2023 majira ya saa 3:00 usiku kabla ya mechi ya marudiano itakayopigwa Aprili 5, 2024 nchini Misri.

Nini maoni yako?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live