Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa nini Eden Hazard ameamua kustaafu Soka?

Eden Hazard 1140x640 Eden Hazard

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wengi wakionekana kushangazwa na uamuzi wa Winga wa Real Madrin na Timu ya Taifa ya Ubelgiji Eden Hazard kutundika daluga katika umri wa miaka 32.

Mchezaji huyo ametoka hadharan na kufafanua azma yake hiyo iliyoawaacha wengi na simanzi.

Akizungumza Hazard anasema;

"Siku zote nilisema kwamba nitaacha kucheza mara tu nitakapokosa tena burudani uwanjani".

"Sikutaka kwenda kucheza mahali fulani kwa pesa. Sikufurahia mazoezi... na sikucheza tena. Uamuzi ulikuwa rahisiā€,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live