Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa mara ya kwanza, UEFA bila ya Messi wala Ronaldo

Messi X Ronaldo UEFA.jpeg Kwa mara ya kwanza, UEFA bila ya Messi wala Ronaldo

Mon, 12 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msimu ujao wa UEFA Champions League utakuwa msimu wa kwanza katika kipindi cha miaka 20 kuwakosa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

CR7 kwa sasa yupo katika Ligi ya Saudi Arabia akiwa na Al Nassr na Messi anatimkia MLS ya Marekani.

Hii imekaaje kwako wewe mdau wa michezo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live