Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa mara ya kwanza Guardiola kakubali kufungwa bao 4

Guardiola: 'Arsenal Wamerudi Kuwa Wagombea Wakuu Wa Ligi Ya EPL' Kwa mara ya kwanza Guardiola kakubali kufungwa bao 4

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa Mara ya kwanza katika michezo 882 kocha Pep Guardiola, jana timu yake ilifunga goli 4 na kuruhusu goli 4.

Ni katika mchezo wa EPL dhidi ya Chelsea huku magoli 2 Kati ya manne ya Chelsea yalifungwa na vijana aliowakuza Pep Guardiola mwenyewe (Stelling na Parker).

Mchezo unaifata City itawakaribisha Liverpool ambao wapo nafasi ya pili huku City akiongoza msimamo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: