Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa mara ya kwanza AC Milan mechi bila mchezaji mzawa

AC MILAN (4 3 3) Kwa mara ya kwanza AC Milan mechi bila mchezaji mzawa

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mara ya kwanza katika historia, AC Milan waliingia uwanjani juzi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa bila mchezaji hata mmoja wa Kiitaliano katika kikosi cha kwanza dhidi ya Paris Saint German (PSG).

Kikosi (4-3-3);

Mike Maignan - Ufaransa

Theo Hernandez - Ufaransa

Malick Thiaw - Ujerumani

Fikayo Tomori - Uingereza

Pierre Kalulu - Ufaransa

Yunus Musah - Marekani

Rade Krunić - Bosnia

Tijjani Reijnders - Uholanzi

Rafael Leão - Ureno

Olivier Giroud - Ufaransa

Christian Pulisic - Marekani.

Kwenye game hiyo Milan alipigwa bao 3-0 na PSG.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live