Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa kitita hiki..!PSG huenda wakambeba Victor Osimhen

Victor Osimhen.jpeg Victor Osimhen

Sun, 7 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa zikufikie kuwa klabu ya Paris St-Germain wako tayari kulipa pauni milioni 111.5 ili kumsajili mshambuliaji wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen, 25.

Taarifa zikufikie kuwa klabu ya Paris St-Germain wako tayari kulipa pauni milioni 111.5 ili kumsajili mshambuliaji wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen, 25. Mabingwa hao watetezi wa Ufaransa wanataka kushindana na vilabu kutoka Saudi Arabia ambavyo pia viko katika kinyang'anyiro hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live