Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa huyu mtu, Man City wamelamba dume

Josko Gvardiol Xxx Kwa huyu mtu, Man City wamelamba dume

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ninaweza kuadmit kwamba Josko Gvardiol ni beki Bora zaidi kwenye kizazi hiki cha mabeki vijana kutokana na:

Ugumu wake kwenye uzuiaji

Uwezo wa kutunza mali

Kasi

Ubunifu

Uwezo wa kutumika sehemu zaidi ya moja (versatility)

Siku moja nilimuona kwenye mechi ya Bundesliga akiwa na Leipzig ya Jesse Marsch msimu wa 2021-22 nilishangazwa na uwezo wake wa kufanya buildup ilhali ni beki wa kati.

Vivyo hivyo kwa City hii ya Guardiola unaweza ukashangazwa na uwezo wake wa ajabu wa kupanda kwa kasi na kupiga krosi na kurudi haraka kuziba mashimo.

Miaka 22 tu hii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live