Mshambuliaji wa Atletico Madrid ambaye anahusishwa kuwa kwenye rada za PSG, Joao Felix, huenda akaendelea kusalia Atletico kwa msimu ujao kutokana na kiasi kikubwa cha pesa ambacho Atletico inakihitaji ili kumuuza.
Mshambuliaji wa Atletico Madrid ambaye anahusishwa kuwa kwenye rada za PSG, Joao Felix, huenda akaendelea kusalia Atletico kwa msimu ujao kutokana na kiasi kikubwa cha pesa ambacho Atletico inakihitaji ili kumuuza. Joao ambaye simu uliopita alicheza kwa mkopo Chelsea, anauzwa kwa kiasi kisichopungua Euro 100 milioni. Mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2027 na ameshindwa kuonyesha moto Chelsea.