Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa Straika huyu Man United, mtasema tu

Rasmus Hojland Kwa Straika huyu Man United, mtasema tu

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ulaya Mashariki inazalisha wachezaji katili sana. Wanazaliwa mabeki walioundwa kwa miguu ya chuma na miili ya zege lakini Ulaya Kaskaini wanazaliwa washambuliaji halisi.

Ulaya Mashariki inazalisha wachezaji katili sana. Wanazaliwa mabeki walioundwa kwa miguu ya chuma na miili ya zege lakini Ulaya Kaskaini wanazaliwa washambuliaji halisi. Tangu zamani kwa akina Michael Laudrup wa Barcelona, Ole Gunner Solksjaer, Tore Andre Flo wa Chelsea hadi sasa kwa akina Erling Halaand na Rasmus Højlund bado Ulaya Kaskazini wanazaliwa washambuliaji halisi.. Hojlund ni bonge la straika

Chanzo: www.tanzaniaweb.live