Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa Refa huyu, Man City vs Madrid hawatoki

Szymon Marciniak Refa kutoka Poland Szymon Marciniak

Wed, 17 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Refa kutoka Poland Szymon Marciniak ameteuliwa kushika uongozi wa mechi kati ya City vs Real Madrid huko Etihad Jumatano hii

Mechi za za msimu huu alizosimamia akiwa kama Refa wa mechi kwenye michuano ya ya (UCL).

Matches: 5

Wins: 2

Draws: 2

Lose: 1

Kila mara anapoongoza mchezo wa Real Madrid, Madrid huishia kushinda UCL kuanzia msimu wa ( 2016/ 2017/ 2018 na 2022) sasa swali la msingi ni je Madrid leo atashinda mbele ya Man City Etihad?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live