Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa Morice Abraham, Amrouche akubali makosa yake

Morice Abraham Kwa Morice Abraham, Amrouche akubali makosa yake

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania jana Januari 17 kilitupa karata yake ya kwanza dhidi ya Morocco Michuano ya AFCON.

Stars walikubali kichapo cha magoli 3-0, huku Novatus Dismas akioneshwa kadi nyekundu iliyowafanya Stars kucheza pungufu kwa zaidi ya dakika 30.

Lakini mbali na kichapo hicho kuna nyota kama Morice Abraham kawapa Stars uwezo wa kupandisha timu kwenye kipindi cha pili na kufika langoni kwa Morocco kila hapa na pale kutokana na composure yake "Utulivu" akiwa na mpira pamoja na uthubutu wake wa kuitafuta forward pass kwenda kwa wachezaji walio juu yake.

Alipaswa aanze maana kiungo kilikuwa kigumu sana katika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Kwa hili lazima tukubali Amrouche alifanya makosa kumuacha nje.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live