Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa Liverpool hii, Anfield kwa moto

Salah Barce Vs Everton Kwa Liverpool hii, Anfield kwa moto

Sat, 28 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Liverpool imeshinda mechi zote saba za mashindano yote iliyocheza katika uwanja wake wa nyumbani wa Anfield msimu huu, ushindi mrefu zaidi ilioupata tangu kuanza kwa msimu.

Liverpool imeshinda mechi zote saba za mashindano yote iliyocheza katika uwanja wake wa nyumbani wa Anfield msimu huu, ushindi mrefu zaidi ilioupata tangu kuanza kwa msimu. Mara ya mwisho ilifanya hivyo msimu wa 1990-91 (pia mechi 7 ushindi 7).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live