Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa Kiwango cha jana, Alistahili kupewa Timu Yanga?

Kaze Namungo Lost Kocha Mkuu wa Namungo, Cedrick Kaze

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Burudani ya Ligi kuu Tanzania bara imerejea na utamu wake, maumivu yameanza kuwatokea baadhi ya mashabiki na furaha imetaradadi kwa baadhi yao.

Mkoani Lindi kilio kimekithiri bĂ ada ya timu yao iliyo chini ya aliyekuwa kocha msaidizi wa Yanga Cedric Kaze raia wa Burundi kukubali kichapo cha goli 1-0 dhidi ya JKT Tanzania.

Wengi waliamini baada ya Nabi kuondoka jangwani basi mtu ambaye angeweza kuiongoza Yanga ni Cedric Kaze, kwa hiki ulichokiona mwananchi angeweza kuwafikisha nchi ya ahadi?

Tupe Comment yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: