Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa Kheri Aziz Ki, kiboko ya soka la Afrika

Aziz Ki Simba Yanga Kwa Kheri Aziz Ki, kiboko ya soka la Afrika

Thu, 23 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Binafsi sina cha kumdai Stephen, alicho kifanya akiwa Yanga ni kitu kikubwa sana. Ni mchezaji ambaye ameivusha Yanga katika nyakati ngumu, nadhani yeye ndio aliye changia kwa asilimia kubwa Yanga kuwa timu tishio barani Afrika. Rejea mechi dhidi ya Club African.

Mechi dhidi ya CR Belouizdad mechi dhidi ya Mamelod. Ni mechi alizo zibeba mgongoni, kabla ya Aziz tuliona jinsi timu ya Yanga ilivyo kuwa, fikiria Yanga ilitolewa mpaka na Rivers United.

Lakini walipo kutana tena Rivers waliona utofauti wa Yanga ile ambayo namba teni alikuwa akiongezwa na Fei kisha namba Yanga ambayo namba teni alisimama Aziz Ki.

Huyu ni mchezaji wa daraja A. Ni kama ilivyo kuwa kwa KONDE BOY tu. Ni ngumu kubaki na wachezaji wazuri kama huna msuli wa kifedha, najua kuna wana Yanga watasema kwanini aondoke bure?

Kuweka sawa kumbukumbu wakati Yanga wanahitaji Aziz, aligoma kuongeza mkataba Asec ili aje Yanga kwa sababu aliwekewa pesa ndefu. Hivyo hivyo ni ngumu Aziz kusalia Yanga kwa sababu kuna timu nje ya Nchi zimemuwekea Dau kubwa zaidi.

Sisi kama Wanayanga kinacho takiwa ni kumuombea huko aendako Coz amefanya mengi makubwa kuliko mchezaji yoyote miaka ya hivi karibuni, na hii ndio maana halisi ya mchezaji mkubwa lazima ahitajike na timu kubwa. Sio mchezaji unatoka Yanga unaenda Simba au Azam timu ambayo kuchukua makombe ni bahati nasibu.

Atakumbukwa kwa mengi huyu mwamba. Kutupeleka hatua ya makundi kombe la shirikisho.. Kombe ambalo wachambuzi wapiga punyeto na mashabiki Walevi wa pombe chafu chafu waliamini Yanga hawezi kuifunga Club African kwenye ardhi ya Tunisia.

Kufunga goli la tatu na kutoa Assist ya Goli la nne kwenye ushindi wa goli tano dhidi ya Tatu Mwakarobo. Binadamu pekee aliye mfunga Tatu Mwakarobo na Pili Lambalanba magoli mengi kuliko mchezaji yoyote.

Mwisho kabisa atabaki kuwa namba kumi bora kuliko zote hapa Tanzania. Aziz Ki hafai kufananishwa na mchezaji yoyote hususani hawa wa kibongo ambao huwezi kukuta wakihitajika nje ya Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live