Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kutinyu aitwa Zimbabwe, Ngoma, Kamusoko watoswa

46338 Pic+azam Kutinyu aitwa Zimbabwe, Ngoma, Kamusoko watoswa

Tue, 12 Mar 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Harare, Zimbabwe. Kocha wa Zimbabwe, Sunday Chidzambwa amemwita kiungo wa Azam, Kutinyu Tafadzwa katika kikosi chake kinachojiandaa na mechi ya mwisho ya kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika dhidi ya Congo-Brazzaville.

Kikosi hicho kitakuwa na kibarua kizito cha kuhakikisha wanapata nafasi ya kufuzu kwa AFCON2019 Misri hapo Juni.

Katika kikosi hicho mshambuliaji Donald Ngoma, beki Bruce Kangwa na kiungo wa Yanga, Thaban Kamusoko hajaitwa.

Kudakwashe Mahachi returns and so does Evans Rusike who missed the Liberia clash in November due to injury.

Kikosi

Makipa: Chigova George (Polokwane City), Sibanda Edmore (Witbank Spurs), Mhari Petros (FC Platinum)

Mabeki: Lunga Divine (Lamontville Golden Arrows), Munetsi Marshall (Orlando Pirates), Hadebe Teenage (Kaizer Chiefs), Mudimu Alec (CEFN Druids), Darikwa Tendayi (Nottingham Forest), Dzingai Jimmy (Power Dynamos), Pfumbidzai Ronald (Bloemfontein Celtic), Murwira Godknows (FC Platinum)

Viungo: Kutinyu Tafadzwa (Azam), Hachiro Richard (Herentals), Nakamba Marvelous (Club Brugge KV), Mahachi Kudakwashe (Orlando Pirates), Mavunga Leeroy (Yadah Stars), Musona Knowledge (KSC Lokeren Oost-Vlaanderen), Karuru Ovidy (Amazulu), Ncube Butholezwe (Amazulu), Lunga Kelvin (SV Rodinghausen), Billiat Khama (Kaizer Chiefs), Phiri Danny (Lamontville Golden Arrows), Chawapihwa Talent (Amazulu)

Washambuliaji: Kadewere Tinotenda (Le Havre AC) Rusike Evans (SuperSport United) Muskwe Admiral (Leicester City) Mutizwa Knox (Golden Arrows) Amidu Abbas (Arar)



Chanzo: mwananchi.co.tz