Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kundi la Simba imefuzu timu moja tu CAFCL

Onana Simba Vs Jwaneng Galaxy.jpeg Kundi la Simba imefuzu timu moja tu CAFCL

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kundi (B) kwenye michuano ya CAF Champions League 2023|2024, timu tatu zimeshindwa kufuzu ligi ya mabingwa Africa Kuelekea msimu ujao 2024|2025.

Msimamo kwenye Ligi Kuu 2023|2024;

◉ Nafasi ya 4 - ASEC Mimosas ›› Kombe la Shirikisho (CAFCC)

◉ Nafasi ya 3 - Simba Sports Club ›› Kombe la Shirikisho (CAFCC)

◉ Nafasi ya 7 - Wydad Casablanca ›› Hajafuzu na hatoshiriki

◉ Nafasi ya 1 - Jwaneng ›› Ligi ya Mabingwa (CAFCL).

Ligi kuu ya Ivory Coast, Ligi Kuu ya Botswana na Ligi Kuu Tanzania Bara zimetia nanga. Ligi ya Morocco bado mechi moja.

Wydad anakiporo (1) hata akishinda mechi zote (2) zilizosalia ataishia nafasi ya (4). Jwaneng katwaa Ubingwa Botswana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live