Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kuna wa kuwazuia Wananchi kubeba ndoo ya 30 msimu huu?

Yanga Yapokea Ofa Ya Wachezaji Watano Kikosi cha Yanga

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara, Yanga SC kama ubingwa wa 30 unanukia tena kabatini hii ni baada ya kufikisha jumla ya alama 58 akiwa amecheza jumla ya michezo 22, huku Azam FC wakiwa na alama 54 wakicheza michezo 24 na nafasi ya 3 ikishikwa na mahasimu wao Simba SC wakiwa na jumla ya alama 46 wakicheza michezo 21.

Baada ya Simba SC kufungwa kwenye mchezo wa Kariakoo Derby ni kama wameachwa kwenye mbio za ubingwa vile ambapo ipo hivi ili Simba abebe ubingwa msimu huu anatakiwa amuombe Yanga apoteze jumla ya michezo 3 katika Michezo yake 08 iliyosalia kukamilisha msimu huu wakati huo Simba Inatakiwa ishinde jumla ya michezo yote 9 iliyosalia.

Je,unaiona Simba ikitwaa ubingwa huu au Yanga kuongeza wa 30?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live