Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kuna nini Ihefu FC? Tangu aifunge Yanga, hajashinda mchezo wowote

Ihefu New Coach.jpeg Ihefu FC tangu aifunge Yanga, hajashinda mchezo wowote

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Ihefu Fcinayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBCPL) imezidi kuporomoka kiwango na kufanya vibaya kila mchezo.

Ihefu tangu waifunge Yanga, Oktoba 4, 2023 kwa ushindi wa mabao 2-1, hawajashinda tena mchezo mwengine wowote katika michezo (7) iliyofuata mapaka sasa.

Ihefu 2 - 1 Yanga (ushindi)

Ihefu 0 - 1 KMC (kufungwa)

Ihefu 1 - 1 Prisons (sare)

Ihefu 1 - 2 Simba (kufungwa)

Ihefu 2 - 2 Singida (sare)

Ihefu 1 - 3 Azam (kufungwa)

Ihefu 0 - 2 Namungo (kufungwa)

Ihefu 1 - 1 JKT Tanzania (sare)

Ihefu katika Msimamo ipo katika timu ambazo zipo hatarini na kushuka daraja ikiwa imeshacheza Michezo 11 na kuvuna alama 9 pekee ikishika nafasi ya 13 kati ya timu 16.

Matokeo ya jana katika mzunguko wa 11:-

Full — JKT Tanzania 1 - 1 Ihefu

⚽️ Said Ndemla — 14'

⚽️ Ismail Mgunda — 16'

Full - Geita gold 1 - 0 Namungo

⚽️ Valentino Mashaka — 78'.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live