Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumuona mzungu wa Yanga buku tu Uwanja wa Uhuru

Mzungu Yanga Princess.jpeg Kaeda Wilson

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hivi karibuni Kama ulipita kwenye page ya timu ya Yanga Princess utakuwa umemuona mwanadada wa kizungu kutoka Marekani “Kaeda Wilson” akifanya mazoezi na timu hiyo.

Hivi karibuni Kama ulipita kwenye page ya timu ya Yanga Princess utakuwa umemuona mwanadada wa kizungu kutoka Marekani “Kaeda Wilson” akifanya mazoezi na timu hiyo. Yanga wameamua kuweka kiingilio cha Tsh. 1000 siku ya kesho mashabiki wanaotaka kwenda kuangalia Mazoezi ya Mwanadada huyo wa kizungu raia wa Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: